Tattoo ya Kajala yenye jina la Wema |
Baada ya kupewa msaada wa kipekee
kwa kutolewa faini ya shilingi million 13 toka kwa msanii mwenzake Wema Sepetu
pesa iliyomsaidia kukwepa kifungo cha miaka 5 jela, Kajala Masanja ameamua
kumshukuru Wema kwa namna ya kipekee ambapo amejichora tattoo yenye jina la ‘Wema’.
Wema alishare picha hiyo ya
Kajala kwenye account yake ya Instagram na kuisindikiza na maneno haya, “me
Corazon....she calls me her hero....I sooo much appreciate her...my friend, my
sister, I’m happy... #pure heart.....nothing but a pure heart.”
Tattoo ya Wema yenye maandishi ya kichina |
Wema Sepetu ameshare pia picha ya
tattoo yake ikiwa imeandikwa kwa lugha ya kichina, kibongobongo sio rahisi
kujua tafsiri na maana ya tattoo hiyo.
NA leotainer
NA leotainer
0 comments:
Post a Comment