Hemed Hamisi akibebwa na wabunge wenzake jana baada ya kuanguka
Mbunge wa Chambani (CUF) Visiwani zanzibar Salim Hemed Hamisi amefariki dunia mchana wa leo katika hospital ya taifa ya muhimbili baada ya jana kuanguka ghafla akiwa katika kikao cha kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es
salaam wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake.
Mbunge huyo ambaye siku za hivi karibuni amerudi kutoka nje ya nchi alikokuwa akipatiwa matibabu ya afya yake alifikwa na dhahama hiyo na kubebwa na baadhi ya wabunge kwa kushirikiana na baadhi ya waandishi wa habari kutolewa nje ya chumba cha mkutano na kupelekwa hospital
ya taifa ya Mhimbili kwa uchunguzi na matibabu zaidi kabla ya kureportiwa kufariki dunia mchana wa leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment