Ligi Kuu ya
Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho (jumatano) kwa viwanja vitatu kutimua vumbi,
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Young Aricans watawakaribisha Kagera Sugar
mchezo utakaoanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Jijini Tanga maafande wa
Mgambo Shooting watakua wenyeji wa Simba SC katika mchezo utakaofanyika uwanja
wa Mkwakwani, huku jijini Mbeya wenyeji Mbeya City watawakaribisha timu ya ya
Stand United kutoka mkoani Shinyanga kwenye uwanja wa Sokoine.
Msimamo wa ligi kuu baada ya michezo ya jana unasomeka kama unavyoonekana hapo chini
0 comments:
Post a Comment