KLABU ya Everton imetangaza kumsajili mshambuliaji Mcameroon, Samuel Eto'o kwa mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru.
Mpachika
mabao huyo mwenye umri wa miaka 33 alitemwa na Chelsea mwishoni mwa
msimu uliopita, amemwaga wino eveton baada ya mpango wake wa kutua liverpoll kukwama.
kupitia mtandao wa twetter Mshambuliaji
huyo wa zamani wa Barcelona ametweet; "Rasmi ni mchezaji wa
Everton...!!! Acha niwe tayari kwa matarajio na changamoto mpya!!!'
0 comments:
Post a Comment