Klabu ya Bayern Munich wameukubali mpango wa kumsajili mlinda mlango wa Liverpool, Pepe Reina.
Mwispania huyo amepoteza nafasi yake kama mlinda mlango nambo moja wa Liverpool kutoka kwa Meneja Brendan Rodgers baada ya kumsajili Simon Mignolet ambapo msimu uliopita alikuwa Napoli.
0 comments:
Post a Comment