zaidi ya shilingi milioni tano zimechangwa kwa njia ya m-pesa na bidhaa tofauti tofauti zenye thamani zaidi ya milioni tano zimekusanywa katika harambee hiyo iliyodumu kwa siku 6.
msaada huu unapelekwa katika kituo cha sisi ni kesho childrens home kilichopo nyololo wilayani mufindi mkoani iringa.
mmoja wa wafanyakazi wa ebony fm ya mkoani iringa yah special mkazuzu akifungasha mizigo hiyo tayari kwa safari ya kuelekea nyololo wilayani mufindi mkoani iringa katika kituo cha sisi ni kesho childrens home.
0 comments:
Post a Comment