Kwa mamlaka aliyonayo ametangaza
uchaguzi mkuu wa TWFA leo kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi, uchaguzi
huo utafanyika tarehe 15, Agosti 2015 katika nafasi zifuatazo:
i.
Mwenyekiti
ii.
Katibu Msaidizi
iii.
Mweka Hazina
iv.
Wajumbe wawili wa Kamati ya
Utendaji.
Fomu za kuomba nafasi hizo zitaanza
kutolewa tarehe 19-23 Juni 2015 katika ofisi za TFF zilizopo Karume jijini Dar
es salaam.
0 comments:
Post a Comment