Mtangazaji mpya na mchambuzi wa michezo wa ebony fm ally kashushu akiwa kazini kuziba pengo la jembe twalib omari aanayefanya kipindi cha jambo beat hivi sasa kushoto ni mussa kawambwa.
yusuph mkule mtangazaji wa kipindi cha anga la michezo akiwa kazini kuwajuza watanzania kinachoendelea kwny ulimwengunu.
mussa kawambwa mzigoni
ally kashushu
kazini raha jaman nikubofya tu lkn km unajua
0 comments:
Post a Comment