kutoka kushoto, katibu mkuu ofisi ya makau wa raisi bwana Sazi Salula, waziri wa
nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa
mkutano,Mh Ali Juma shamhuna waziri wa Elimu Zanziabr, akimuwakilisha Wazri wa
nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais zanzibar kama mwenyekiti mwenza katika
kikao cha kamati ya pamoja cha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na
serikali ya mapinduzi zanzibar cha kujadili changamoto za Muungano.
Baadhi ya mawaziri wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika kikao cha pamoja cha
kujadili changamoto za muungano mjini Dodoma Leo
pichani kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi yamakamu wa Rais Muungano mh Samia
Suluhu Hasan akiongoza kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za
muungano..mjini Dodoma leo..
baadhi ya wakurugenzi kutoka Ofisi ya makamu wa rais wakifuatilia mazungumzo
katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za muungano kinachoendelea mjini
Dodoma
Picha zote na Evelyn Mkokoi
0 comments:
Post a Comment