Main Menu

Sunday, July 7, 2013

KUELEKEA MWEZI WA RAMADHANI EZDEN the ROCKER AFUNGA NDOA NA DIDAS WA TIMES FM

Bi Hindu akiongea maneno yake ya msingi kwa maharusi....
 Baba mzazi wa Ezden upande wake na Upande wa Dida ni uncle wa bi harusi...
 Maharusi na brother wa Bi Harusi Mr. Athumani...
 Kabla ya ndoa stori zilikuepo za hapa na pale....
 Ndoa maalum ya KIISLAM hapo kikisainiwa cheti cha ndoa....
 Cousin Brother wa Bwana Harusi Mr. Taiz, Ezden The Rocker, Dida wa E na Baba wa Bwana Harusi Mr. J4...
Dua sasa hapa...All the BLESSINGS.... Alhamdulillah...
Hii sasa ndio ndoa inafungwa aliyeshikana mkono na Bwana Harusi ni kaka wa Bi Harusi Mr. Hussein Shaibu
 Kwa walio wahi kuhudhuria harusi za kiislamu kuna hii kitu wengine huita Kombe wengine huita kula solo... hapa bwana Harusi akiweka chakula ambacho anaenda kula mkewe, kama hujui kuhusu hii kitu uliza kwa waislamu wakupe zaidi. Misosi kibao, mwendo wa draft hapo dah....!!!!!
 Mdogo wa Bwana Harusi Sufian Jumanne na upande wa Bi harusi ni mashost.... pamoja sana!!!
 It is what it is.....!!!!
 Maharusi  na Mama Ezden (Mama mzazi wa Bw. Harusi...
 Hii sector achana nayo kabisa ndugu yangu....
 Kutoka Times Fm 100.5 ni waziri wa WIZARA ya Michezo Mr. Clifford Mario Ndimbo akiweka pozi swafi na maharusi...
 VJ Penny, Ezden, Deen, Dida na Sauda Mwilima...
KILA LA KHERI MWANANGU WA NYEUSI THE ROCKER KAMA SIAMIN HIVI....

picha na dida mtikisiko

0 comments:

Post a Comment