Timu ya taifa ya wanawake ya England imeondolewa katika
hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia la wanawake baada kufungwa
magoli 2-1 na timu ya taifa ya Japan.
Kwa matokeo hayo timu ya Japna itacheza fainali na timu
ya taifa ya Marekani siku ya Jumatatu ya tarehe 6 mwezi huu.
Nafasi ya mshindi wa tatu itakuwa kati ya Ujerumani dhidi
ya England.
0 comments:
Post a Comment