Michuano ya Tenisi ya Wimbledon inazidi kushika kasi kule
nchini England.
Kwa upande wa wanaume Mswisi Stan Wawrinka amefanikiwa
kupata ushindi wa seti 3-0 dhidi ya Estrella Burgos.
Mchezo mwingine umemshuhudia bingwa mtetezi wa Michuano
hio kwa upande wa wanaume Novak Djokovic akipata ushindi wa seti 3 kwa sifuri
dhidi ya Jarkko Nieminen.
Kwa matokeo hayo,Djokovic atakutana na Benard Tomic
katika raundi ya 32.
0 comments:
Post a Comment