Washiriki Redds miss iringa wakiwa katika picha ya pamoja na mratibu wa shindano hilo Doss Magambo na wakufunzi wao Redds miss Iringa namba moja na mbili mwaka jana.
Warembo wakiwa katika pozi la pamoja mkwawa magic site.Mshiriki Grace Komba
Mshiriki Deborah Samwel
Mshiriki Prisca Mengi
Mshiriki Lilian Samson
Mshiriki Zena Mohamedy
Mshiriki Lulu Laurent
Mshiriki Lucy George
Mshiriki Deborah Jacob
Mshiriki Flora Malya
Mshiriki Neema Mality
Washiriki wa redds miss iringa wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi za Ebony Fm iringa.
Tiketi za awali za redds miss iringa zimeanza kupatikana katika ofisi za Ebony fm Iringa, Nems Collection, na Maama Beauty Saloon Tumaini.
Shindano hilo la Redds Miss Iringa mwaka huu limeandaliwa na Ebony Entertainment na kudhaminiwa na REDDS ORIGINAL, PEPSI DARE FOR MORE, GLORY LORGE, MKWAWA MAGIC SITE, BWAWANI CAMP SITE, MAAMA BEAUTY SOLOON TUMAINI, NEMS COLLECTION, SISTER D BEAUTY SALOON UHINDINI NA EBONY FM RADIO.
0 comments:
Post a Comment