KAZI ZILIANZA MCHANA KWA MATANGAZO YA MAANA YA BARABARANI YAKIONGOZWA NA BODABODA ZAIDI YA HAMSINI........
KABLA KUANZA RASMI KWA SHOW YA WASANII WATU WALISHUHUDIA LIVE GAME ZA PREMIUR LIGIE NA MATUKIO MENGINE MENGI
ZAIDI YA WATU ELFU KUMI WALIJITOKEZA KATIKA KILELE CHA MTIKISIKO 2013 UNAOANDALIWA NA RADIO EBONY FM YA MKOANI IRINGA WEEKEND ILIYOPITA KATIKA UWANJA WA SAMORA.
UMATI MKUBWA WA WAKAZI WA NYANDA ZA JUU KUSINI WALIOJITOKEZA KUSHANGWEKA KATIKA UWANJA WA SAMORA MKOANI IRINGA.
HUYU NDIYE JAMAA AMBAYE INASEMEKANA ALIPIGA SHOW KALI KULIKO ARTIST WOTE ZAIDI YA 20 WALIOPARFOM SIKU HIYO..................ANAITWA JOE MAKINI MWAMBA WA KASKAZINI.
DJ CHOKA NAE ALIKUWEPO KUFANYA YAKE KWNY 1&2 WALIPOPANDA JOE NA ROMA
MKALI KUTOKA NCHINI KENYA NAMELESS ALIFANYA YAKE NA KUWAPIGISHA WATU NDURUUUUUUUU........
KILA MTU BACKSTAGE ALITAKA KUPIGA PICHA NA WASANII
KASSIM MGANGA NA I LOVE UUUUUU...................
R.O.M.A AKIWAIMBISHA MASHABIKI WAKE KUTOKA BACKSTAGE
SHILOLE MAUNO AKIFANYA YAKE NA WACHEZA SHOW WAKE
Baadhi ya Wasanii waliokuwepo ni pamoja na IZZO BIZINESS, KASSIM MGANGA, NAMELESS, JOE MAKINI, SHILOLE MAUNO,ROMA MKATOLIKI, MR BLUE, LINEX, BABA LEVO, SQUZEER, KALA JEREMIA, DARASA, NAS, EMMO, MEEDA CLASSIC, ANGETAINER, na wakali wengine wa nyanda za juu kusini vikiwemo vikundi vya dancerz.
MTIKISIKO 2013 ULIDHAMINIWA NA TBL KUPITIA KILIMANJARO PREMIUR LAGER, MUCOBA BANK, ACCESS COMPUTER LTD, AGRO CHEMICAL, GOLDEN CITY HOTEL, WILOLES HILTOP HOTEL, NWE RUAHA HOTEL, TEXAS LORGE, DELIMA, GEORGE TOWN, EURIC AIR, CHAULA BUS SERVICE, DILUXE TOURS, KIBBS INVESTMENT, MAKINGI PUB, WEEKEND COSMESTIC, NEMS COLLECTION NA CLUB LAPARTE.
0 comments:
Post a Comment