Main Menu

Tuesday, April 30, 2013

MDAU WA MTANDAO HUU ZIARANI WILAYANI KILOLO IRINGA

Mdau wa mtandao huu Yahaya Mohamedy akiwa katika Ziara ya kikazi wilayani kilolo mkoani iringa ambapo mbali na mambo mengine, alihudhuria azinduzi wa mahakama ya mwanzo wilayani humo.

0 comments:

Post a Comment