Baada ya kumsajili Dues Kaseke na kuwaongeza
mkataba wachezaji wake watatu, Yanga imeendelea kuboresha kikosi chake.
Beki wa kushoto wa timu ya kmkm ya visiwani Zanzibar
Haji Mwinyi na Taifa Stars leo amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia
Yanga.
Haji alikua afrika kusini na kikosi cha timu
ya taifa kilichoshiriki michuano ya cosafa na kutolewa katika hatua ya awali
baada ya kutoteza michezo yake yote mitatu.
0 comments:
Post a Comment