Tarifa kutoka nchini England zinasema kuwa klabu ya
Southampton imekataa ofa ya ya klabu ya Manchester United ya pauni milioni 20
juu ya usajili wa kiungo wa Morgan Schneirdelin.
Kiungo huyo rais waUfaransa amekuwa akihitajika na
vilabuvingi duniani lakini United wameonekana kuwa na dhamira ya dhati ya
kumpata mchezaji huyo.
Schneiderlin ana hamu ya kucheza michuano ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya msimu ujao nah ii ndiyo sababu ya kumtoa katika klabu ya
Southampton .
Klabu ya Southampton inataka kiasi cha pauni milini 30
kwa timu yoyote inayomhitaji Morgan Schneiderlin.
0 comments:
Post a Comment