Katika mchezo huo Bayer Leverkusen ya Ujerumani ilipata ushindi wa bao moja kwa sifuri , Goli hilo pekee la Bayer 04 lilitiwa kimiani na Hakan Calhanoglu.
Hata hivyo Torees alifunga bao dakika ya 74 ambalo halikua halali
Fernando Torres akigombania mpira baada ya kuingia katika dakika ya 64 .
Torres akilalamika kwa mwamuzi baada ya goli lake kukataliwa kunako dakika ya 75 .
0 comments:
Post a Comment