Huku magoli mengine yakipachikwa na Geoffrey Kondogbia na Yannick Ferreira Carrasco.
Goli la kufutia machozi la Arsenal limefungwa na Oxlade Chamberlain aliyetokea benchi
Ukiiangalia ile mechi unaweza ukasema Monaco wametumia mbinu za Man U kuifunga Arsenal kwani mara nyingi timu hiyo imekua ikifungwa kwa style hiyo hali iliyonifanya niwaze labda Berbatov aliwapa Monaco mbinu hizo
Kocha wa Monaco Prince Albert akiwa na mchezaj wa zamani wa timu hiyoo
midfielder Ludovic Giuly (katikati) ana mkali wa zamani wa arsenal Robert Pires
kwenye pitch wakizungumza na French TV
Kondogbia, akiwaambia mashabiki wa arsenal kwamba hawasikii baada ya kufungua akaunti ya magoli pale Emerates
Hali ilikua mbaya sana kwa wachezaji wa Arsenal baada kipigo cha mabao matatu kwa bila.
Monaco wakishangilia goli la Kondogbia lililokua la kwanza.
Mchezaji wa zamani wa Spurs, Manchester United na Fulham akifurahia goli lake ambalo lilikua la pili mbele ya washika bunduki wa london.
Alex Oxlade-Chamberlain
aliyetokea benchi akiifungia arsenal bao la kufutia machozi lililoleta matumaini kabla ya kufungwa goli la tatu.
0 comments:
Post a Comment