TRANSFER
GOSSIP
Aston Villa
inafuatilia mwenendo wa beki wa Manchester City mwenye umri wa miaka 30 Joleon
Lescott, ambaye aliichezea club hiyo miaka ya nyuma.
Lescott alisajiliwa man city agoust 2009 akitokea everton
kwa ada ya pound 22m .
Mwenyekiti Crystal Palace Steve Parokia anatarajia
mshambuliaji wa club yake Wilfried Zaha, 20, ataendelea kuwepo kwenye club hiyo
mpaka majira ya joto - lakini amekubali jitihada kubwa zinazofanywa na vilabu
anaweza kuuzwa january hii.
Wakati huo huo, Manchester United inauwezekano wa kumpata
Zaha na katika majira ya joto.
Rais wa Atletico Madrid Enrique Cerezo amekanusha taarifa
zilizotolewa na gazeti la Kihispania AS kwamba watamuunganisha mshambuliaji
Radamel Falcao, 26, na Real Madrid .
"totally false".
"totally false".
Tottenham wametoa ofa kwa ajili ya kiungo wa timu ya
taifa ya england Jake Livermore, 23, mwezi huu, ambapo wapinzani wenzao wa
London QPR na Fulham akifuatilia hali.
Newcastle wametunga shortlist ya washambuliaji wa kuchukua nafasi ya mshambuliaji anayekwenda Chelsea- Demba Ba, mmoja kati ya wachezaji hao watatu ni mshambuliaji wa Marseille Loïc Remy, 26,.
OTHER
GOSSIP
Chelsea captain John Terry hurt his
knee in the 1-1 draw with Liverpool on 16 November
Mshambuliaji wa Manchester City Mario Balotelli, 22,
anatafuta msaada kutoka kwa kocha wa klabu yake ili kuokoa kazi yake na
mabingwa wa Ligi Kuu hao baada ya kutofautiana katika mazoezi na meneja Roberto
Mancini.
AND
FINALLY
Grime stars Devlin and Lethal Bizzle watakuta uso kwa uso
kwa ajili ya kuimba wimbo rasmi wa Kombe la FA kama sehemu ya mashindano mpya
uliozinduliwa na Football Association.
0 comments:
Post a Comment