Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto na watu wanaodaiwa kumuunga mkono zitto kabwe....
Hapa ndipo walipo ingilia.....
aliyeku mwanachama wa chadema (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na
kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya
CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...
Vijana wawili wa CCM( Green Guard) wamesha kamatwa kwa kuhusiswa na
tukio hili wakati huo huo kuna vijana wa CCM wamejikusanya kwenye bar ya
amazon wakipanga kuaandamana ili kuonyesha kuwa wana muunga mkono Zitto
na Mwingamba...
NA jamiiforum
Tuesday, December 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment