Main Menu

Tuesday, November 26, 2013

LEO NI MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DUNIA SHAROMILIONEA

 ALITUTOKA KWA KUPATA AJALI MBAYA YA GARI ALILOKUA AKISAFIRIA KUTOKA DAR KUELEKEA NYUMBANI KWAO MKOANI TANGA, AJALI ILITOKEA MAENEO YA MUHENZA MKOANI HUMO.................R.I.P SHARO

0 comments:

Post a Comment