Main Menu

Tuesday, November 26, 2013

NAMELESS KUTUA IRINGA WEEKEND HII KUONGOZA LIST WA WASANII WA TANZANIA KATIKA TAMASHA LA MTIKISIKO, CHECK BAADHI YA WASANII WENGINE WATAKAO KUWEPO

 NAMELESS KUTOKA NCHINI KENYA ATAONGOZA SHOW YA MTIKISIKO 2013 MALIZAAAA   MALIZAAAAAAA.........AYAAAAAAAAAAA PALE SAMORA STADIUM SIKU YA TAREHE 30 JUMAMOSI KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI
 KALA JEREMIAH
 BABA LA BABA BABA LEVO
 DARASA
 CASSIM MGANGA
 ROOOOMA MKATOLIKI
MAMA WA MAUNO SHILOLE BEIBIII
 MR BLUE MZEE WA KUTUMIA PESA
 TEMA MATE TUMCHAPE MADEE
 IZZO BIZNESS
LINEX LINENGA

HAO NI BAADHI TU YA WASANII WATAKAOPAFORM SIKU HIYO YA JUMAMOSI.
 KIINGILIO KATIKA TAMASHA HILO NI SHILINGI 5,000 KWA TIKETI ZA AWALI NA SHILINGI 6,000 KWA MLANGONI.......

0 comments:

Post a Comment