Ulikua ni mchezo wa hisani uliokua na madhumuni mawili la kwanza kumuaga Stiven Gerald na pili kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchangia kwenye mfuko wa watu wenye ulemavu wa macho.
Hapa zilipambana timu mbili moja ikiwa chini ya kiungo mlengwa Stiven Gerald na kingine kikiwa chini ya beki wa kati Jamie Carragher.
Hapa zilipambana timu mbili moja ikiwa chini ya kiungo mlengwa Stiven Gerald na kingine kikiwa chini ya beki wa kati Jamie Carragher.
Steven Gerrard akiwapongeza wachezaji wenzake wa zamani wa liverpool strikers Fernando Torres na Luis Suarez
Suarez, Torres, Luis Garcia, Xabi Alonso, Gerrard, Dirk Kuyt, Pepe Reina na Alvaro Arbeloa wakiwa katika pozi la picha
Mario Balotelli akipiga shoot lililozaa goli kwa timu yake ya caragher
Drogba Drogba akishangilia goli la pili kwa timu ya Jamie Carragher
Gerrard akifunga goli kwa njia ya penalt
Drogba na Kevin Nolan
Harry Kewell akitoa pasi mbele ya beki wa Chelsea captain John Terry na Liverpool captain Gerrard,
Carragher akigonga na mchambuzi wa kituo cha sky sports na mchezaji wa zamani wa arsenal
Thierry Henry
Drogba akimpita mlinda mlango wa timu ya gerald na kufunga goli la pili
Bayern Munich midfielder Alonso akisalimiana na kocha wake wa zamani Brendan Rodgers
Wachezaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez na Fernando Torres waliporudi Anfield
Suarez, Torres, Garcia, Alonso,
Gerrard, Kuyt and Arbeloa (left to right) gather for a photo together
after the full-time whistle
Balotelli na kaseilfie fulani hivi amaizing
0 comments:
Post a Comment