Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars imelazimishwa sare ya goli moja kwa moja na timu ya taifa ya Malawi the flames katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini mwanza.
Goli la stars katika mchezo huo limefungwa na mshambuliaji wa timu ya Tp mazembe Mbwana Samatta kipindi cha pili cha mchezo huo likiwa ni goli la kusawazisha la Esau Kayenda aliyefunga dakika ya nne tu ya mchezo.
Viongozi mballimbali wa mpira nchini
Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na Oscar joshua
Sunday, March 29, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment