Main Menu

Monday, November 25, 2013

LOWASSA AENDELEA NA HARAKATI ZAKE AKUTANA NA WAZEE WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM


Ujumbe wa Maveterani wa CCM pamoja na wajumbe wa Baraza la Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.


0 comments:

Post a Comment