MKALI wa Bongo Fleva Bernad Paul’Ben Pol’ambaye ni miungoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa sana mwaka huu.
Mapema mwaka huu Ben Paul alishinda tuzo ya mtunzi bora ya Kili Music Awards 2013 pia ni mmoja kati ya wasanii waliopanda stage moja na P Square tarehe 23 Nov 2013.
Hayo ni baadhi tu ya mafanikio ya Ben Pol ndani ya mwaka 2013, sasa msanii huyo ameamua kufanya party ya kusherekea mafanikio yake nyumbani kwao Dodoma tarehe 7 December 2013.

0 comments:
Post a Comment