Boma rod
Utambulisho wa mji wa Moshi
Hivi ndivyo vitu vinavyouweka mji wa Moshi katika hali ya usafi muda wote, karibu kila umbali wa mita mia unakutana na kitu kama hiki.
Maktaba ya mkoa
Kwa mbali jengo la kahawa house moja ya majengo mazuri ya mwanzo kujengwa mjini Moshi
Muonekano wa jengo la chama cha ushirika mkoa wa Kilimanjaro
Wakati majiji mengine barabara zake kuwa safi ni hadi wanapokuja viongozi wakuu wa dunia, mji wa Moshi ni tofauti wakati wote barabara zake ni safi hata kama hazina hali nzuri
Hospitali ya mkoa wa Kilimanjaro MAWENZI ambapo mmiliki wa mtandao huu naye alizaliwa hapo
Pamoja na mji wa moshi kuongoza kwa usafi bado wamachinga wameendelea kufanya biashara kwenye maeneo ambayo huku kwetu tunasema sio rasmi
Wafanyabiashara wadogo wadogo aka wamachinga wakiwa wamepanga bidhaa zao eneo linaloangaliana na kituo kikuu cha polisi mkoani kilimanjaro.
Hii ni stand kuu ya mkoa wa kilimanjaro inavyoonekana kwa nje
0 comments:
Post a Comment