Danny Welbeck akifunga kwa kichwa bao la kuongoza kwa Man United jana
Welebeck akishangilia
Jose Mourinho akijifunga kitambaa usoni, sasa cjui alikua hataki kuona game au kichwa kinamuuma au anawaza kibarua chake.
Robin van Persie akipambana na Alvaro Arbeloa huku Fabio Coentrao chini akipambana na Wayne Rooney
Ronaldo akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 30 ya mchezo.
Ferguson akikumbatiana na Ronaldo na Mourinho mwishoni mwa mchezo
0 comments:
Post a Comment