Main Menu

Tuesday, April 16, 2013

THE NYAMA CHOMA FESTIVAL KUFANYIKA APRIL 27 JIJINI ARUSHA

WALE WALIOKUWA NA MASWALI MENGI KUWA NYAMA CHOMA THIS YEAR ARUSHA ITAFANYIKA WAPI , NINA HABARI NZURI SANA KWENU ...UWANJA WA NANE NANE NI WAKO KATIKA KUJIDAI SIKU YA TAREHE 27 MWEZI HUU WA NNE KATIKA NYAMA CHOMA FESTIVAL , TUKIO MAALUMU AFRIKA MASHARIKI LENYE KUVUTIA WATU WENGI SANA. 


USIIKOSE HII WATU WA ARUSHA ..NI WAKATI WAKO WA KUBURUDIKA NA NYAMA CHOMA NA KWA WALE AMBAO WANGEPENDA KUWEKA MABANDA YAO KWAAJILI YA NYAMA USISITE KUWASILIANA NA NUMBER HII 0719217550.


KUZA BIASHARA YAKO SASA , PIGA SIMU HARAKA UJIPATIE NAFASI KWASABABU NI TUKIO KUBWA SANA HAPA AFRIKA MASHARIKI. 


UNANGOJA NINI MFAHAMISHE NA MWENZAKO SASA.

0 comments:

Post a Comment