Main Menu

Saturday, October 19, 2013

HIVI NDIVYO MKOA WA NJOMBE ULIVYOZINDULIWA RASMI NA RAIS DR JAKAYA KIKWETE KATIKA UWANJA WA SABASABA, ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WABENA

Rais Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.
Wazee wa Kabila la Wabena wakimsimika Uchifu Rais Jakaya Kikwete.
Chifu Mpya wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiteremka Jukwaani baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila hilo na kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa Njombe.
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena,wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.
Machifu wa Kabila la Wabena wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
 


Shangwe zilitawala wakati Rais Kikwete akibonyeza kitufe cha kuashiria Uzinduzi Rasmi wa Mkoa Mpya wa Njombe na kelele za kinora zikaamsha shangwe.
Rais Kikwete akizindua Vitabu.
Mamia ya Wakazi wa Mkoa wa Njombe wakiwaangalia vijana wa Halaiki wakati wakitoa Burudani uwanjani hapo.
Wakuu wa mikoa ya nyanda za juu kusini nao waliudhuria sherehe hizo

0 comments:

Post a Comment