Main Menu

Thursday, July 11, 2013

DRAFT NI MCHEZO UNAODAIWA WACHEZAJI WAKE KUTUMIA AKILI NYINGI KULIKO MCHEZO WOWOTE, WACHEKI WANAHABARI WAKIJILIWAZA BAADA YA KAZI

 Waandishi wa habari mkoani iringa wakicheza draft eneo la M.R baada ya kazi, kushoto ni Denis Mlowe wa Tanzania daima na Fransis wa iringa manispaa televishen.
Matokeo ya mchezo huu siwaambii maana mtu aliaibishwa

0 comments:

Post a Comment