Main Menu

Wednesday, April 3, 2013

HAPPY BIRTHDAY JUDITH MZURIKWAO A.K.A DIVANJI, MFANYAKAZI WA EBONY FM, POZI TOFAUTI KATIKA PICHA





               Akitekeleza majukumu yake ya kila siku, hapa ni katika maandalizi ya the splash
                                          hapa ndio umuone vizuri




 Wazazi wake walimpa jina la judith baba yake anaitwa mzuri kwao alipokua akajiongezea majina apenda aitwe divanji lakini wengine wanamuita mtetea.

katika kituo cha radio ebony fm anafanya kazi nyingi lkn kubwa zaidi ni pale anaposikika kupitia kipindi cha the splash saa 8 mchana hadi saa 10 jioni pia siku ya jumamosi saa nne katika 0ne xtra.

leo ametimiza umri wa miaka 27 na hii ina maanisha kuwa tarehe kama ya leo mwaka 1986 ndio siku familia yake ilikua na furaha kwa kumpata binti huyu mwenye kujituma sana katika kutaka kutimiza ndoto zake za kufa tajiri, maana kuna msemo usemao kuzaliwa maskini ni mpango wa Mungu na kufa maskini ni uzembe wako.

Blog hii inakutakia kila la kheri katika maisha yako.

2 comments:

judy said...

thank you mkazuzu... God bless you!

Unknown said...

HBD homie!

Post a Comment