KOCHA
Louis van Gaal ameendelea kuwa katika wakati mgumu Manchester
United, baada ya usiku wa jana kukubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kitimu cha Dons cha Daraja la Kwanza katika michuano ya Kombe la Ligi, maarufu Capital One.
Mabao
yaliyomtia machungu Van Gaal yamefungwa na Will Grigg dakika ya 25
na 63 na Benik Afobe anayecheza kwa mkopo kutoka Arsenal dakika ya 70 na
83.
Kikosi
cha MK Dons: Martin, Baldock, McFadzean, Kay, Lewington, Alli, Potter,
Carruthers/Green dk61, Reeves, Bowditch/Powell dk56 na Grigg/Afobe dk68.
Manchester United: De Gea, M.Keane, Evans, Vermijl 5, Janko/Perrara dk46, Anderson, Kagawa/Januzaj dk20, Powell/Wilson dk57, James, Hernandez na Welbeck.
Wachezaji wa United wakiwa hoi baada ya kipigo
Wchezaji wa MK Dons wakishangilia bao lao la kwanza
Wchezaji wa MK Dons wakishangilia bao lao la kwanza
Grigg akimtungua kipa De Gea
0 comments:
Post a Comment