Main Menu

Thursday, August 21, 2014

ROJO AJIPIGA PINGU YA MIAKA MITANO MANCHESTER UNITED

KLABU ya Manchester United imethibitisha kumsajili beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo kwa dau la Pauni Milioni 16.
 
Rojo, aliyetua Manchester jana na kusema 'anahisi kama ndoto', amesaini Mkataba wa miaka mitano baada ya kufuzu vipimo vya afya na kuafiki vipengele vya mkataba binafasi.
 

Rojo ni Mwekundu: Manchester United hatimaye imekamilisha usajili wa Marcos Rojo kutoka Sporting Lisbon

 

0 comments:

Post a Comment