Main Menu

Wednesday, April 3, 2013

WAIMBAJI BORA WA MZIKI WA GOSPER NDANI YA STUDIO ZA EBONY FM 87.8 IRINGA SAA CHACHE KABLA YA TAMASHA LA PASAKA MKOANI HUMO

  Kutoka kulia Bonny Mwaitege, Rose Mhando, Upendo nkone, na Solomon mkubwa.
   Mwimbaji Rose Mhando akiimba wimbo wake wa utamu kwa yesu ndani ya studio za Ebony fm muda mchache kabla ya tamasha la pasaka mkoani Iringa
            Upendo nkone ndani ya studio za ebony fm iringa nyuma yake ni solomon mkubwa kutoka nchini kenya.
Watangazaji wa ebony fm 87.8 iringa kutoka kushoto ansilm ngaiza aka soggy, teddy hankungwe, na judith mzurikwao wakiwafanyia mahojiano waimbaji wa nyimbo za injili saa chache kabla ya tamasha la pasaka mkoani iringa.

0 comments:

Post a Comment