Tanzania imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda kati ya Juni 6, 7 mwaka huu jijini Kigali, kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbali, Tanzania itapeleka kikosi cha vijana U23 katika mchezo huo utakaochezwa mwishoni mwa wiki.
Kufuatia kupata mwaliko huo kikosi cha U23
kitaondoka nchini ijumaa tarehe 5, Juni 2015 kuelekea nchini Rwanda kikiwa na
wachezaji 18 chini ya kocha Salum Mayanga.
Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime ameongezwa
kwenye benchi la ufundi litakalokwenda Ethiopia kisha nchini Misri
kufuatia kocha Salum Mayanga kuwa na timu ya U23 nchini Rwanda.
0 comments:
Post a Comment