Main Menu

Sunday, May 5, 2013

HAFLA YA KUWEKWA NDANI MWANDISHI WA HABARI NA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA IRINGA TUMAINI MSOOYA YAFAANA W'END ILIYOPITA

             
mwandishi habari wa ebony fm yahaya mohamed akitoa pongezi kwa dada yake tumaini msooya

  BWANA frank kibiki na bi tumaini msooya wakimsikiliza mc wa shughuli yao katika ukumbi wa highland iliyofanyika w'end iliyopita baada ya ndoa kufungwa katika kanisa la kkkt mjini iringa
  wakati wa uingiaji ukumbini ilikua tofauti kidogo na harusi nyingine, hawa maharusi waliingia kwa style ya aina yake ambapo bi harusi alikua akiimba na kucheza baadhi ya nyimbo zake mwenyewe kwa bibie huyo mbali ya kuwa mwandishi pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili.
    member wa crew ya morning talk ya ebony fm maregesi gerishoni akifurahia na mdogo wake kuingia katika fungate

      mtangazaji wa show ya the splash judith mzurikwao aka divanji akitoa pongezi kwa bi tumaini msooya.
                     hii ndio kamati kuu iliyofanikisha hafla hii, ikiongozwa na viongozi wa chama
                     mtangazaji wa radio ebony fm aisha sadigah akitoa pongezi kwa bi harusi

                                     mambo ya kugongesha glass

0 comments:

Post a Comment