Draw ya hatua ya robo fainal ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imefanyika mchana huu baada ya hatua ya mtoano kukamilika wiki hii.
Ratiba kamili ni kama inavyoonekana hapo chini.
Michezo ya robo fainal inatarajiwa kuchezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa nne kwa michezo ya kwanza kisha michezo mingine kupigwa 21 na 22.
Nini matarajio yako kwa ratiba hii...........?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment