Main Menu

Thursday, March 19, 2015

HILI GARI LINAWAFAA WASHKAJI ZANGU WANAOTEMBEA NA VIDUMU KWENYE MAGARI YAO

 


Hili gari nahisi linawafaa sana wale washkaji zangu ambao taa zao za mafuta zimeungua kwa sababu muda wote zinawaka.

gari hili ni aina ya CeBIT 2015, limetengenezwa na kampuni ya  Volkswagen ya nchini ujerumani.

gari hilo lina uwezo wa kutembea kilometa mia moja (100) kwa lita 1 ya diesel.



0 comments:

Post a Comment