Baada ya matokeo ya jana ya ligi kuu ya Vodacom msimamo wa ligi hiyo sasa unasomeka kama ambavyo unaonekana hapo chini.
Yanga imerudi kileleni wakati timu nyingine zilizopata ushindi zikibadili nafasi walizokua nazo hapo awali, timu hizo ni Mgambo JKT na Mbeya City.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment