Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika hafla ya sherehe za kuukaribisha mwakama mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye Ukumbi wa Karimjee,jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Nov 10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalaimiana na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania, wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, Katikati ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
picha na OMR
picha na OMR
0 comments:
Post a Comment