Main Menu

Thursday, February 26, 2015

YANGA YAENDELEA KUJINOA KUIVAA BDF ELEVEN KESHO, MCHEZO KUWA LIVE AZAM TV

 Kocha mkuu wa yanga hans van pluijm akiteta jambo na nahodha wa timu hiyo nadir haroub canavaro wakiwa safarini kutoka hotel ya Oasis waliofikia kuelekea kwenye uwanja wa mazoezi mapema hii leo
 Wachezaji wa yanga wakiendelea na mazoezi mepesi ya viungo mapema hii leo kuelekea mchezo wako wa kesho wa kombe la shirikisho dhidi ya BDF eleven, katika mchezo wa kwanza uwanja wa taifa Yanga ilishinda magoli mawili kwa bila.

Mchezo huo utakaofanyika majira ya saa mbili kwa saa za afrika mashariki utaoneshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha azam.

0 comments:

Post a Comment