Baada ya kukubali kipigo katika fainal ya kwanza ya NBA,
timu ya Cleveland Cavaliers imelipiza kisasi kwa kupata ushindi wa point 95 kwa 93 za Golden State Warriors.
Katika fainal ya kwanza golden state warriors walishinda
kwa point 108 kwa 100.
Le Bron James amechangia ushindi kwa timu yake baada ya
kufunga point 39, Rebounds 16, na Assist 11 tofauti na mwenzake MVP Stephen Curry, alifunga points 19.
Katika fainal hiyo ya pili ilihudhuriwa pia na bondia tajiri Floyd Mayweather
Jr pamoja na rapa Will.i.am.
0 comments:
Post a Comment