Main Menu

Friday, May 8, 2015

MSIMAMO WA LIGI KUU UNASOMEKA HIVI KABLA YA KESHO TIMU 2 KUSHUKA


Kuelekea michezo ya mwisho ya ligi kuu ya vodacom hapo kesho msimamo wa ligi hiyo unasomeka kama unavyoonekana hapo chini huku timu takribani 6 zikiwa katika hati hati ya kushuka daraja.

Timu 2 ndizo zitakazoshuka daraja msimu huu zikizipisha timu nne zinazopanda ambazo hi MAJIMAJI, MWADUI FC, TOTO AFRICAN, na AFRICANS SPORTS.



0 comments:

Post a Comment