Baada ya miaka kumi na 18 hatimae timu hizi mbili za Juventus ya italia na Borussia Dortmund ya ujerumani zilikutana katika dimba la juventus na kushuhudia juve ikiibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja.
Mabao ya juve yalifungwa na mshambuliaji wa zamani wa manchestar united na city Carlos Tevez huku bao la pili likifungwa Alvaro
Morata.
Kocha Jurgen
Klopp na timu yake wameendelea na mwenendo usiovutia wa matokeo mabaya tangu kunako bunda sliga, bao la kufutia machozi la BVR lilifungwa na Marco Reus.
Juventus striker Carlos Tevez akiifungia timu yake goli la kuongoza katika dakika ya 13
Kosa la golikipa wa Borussia Dortmund Roman Weidenfeller likaizawadia goli timu ya juventus kupitia kwa Tevez katika Uefa Champions League hatua ya 16
Wachezaji wa Juventus wakishangilia ushindi wao dhidi ya Borussia Dortmund katika dimba la juventu.
Borussia Dortmund wakiwa hoi bin taaban kwa kipigo cha mabao mawili kwa moja, sasa wanasubiri mchezo wa marejeano March 18 na wanahitaji ushindi wa bao moja tu kusonga mbele.
0 comments:
Post a Comment