Main Menu

Tuesday, October 8, 2013

MAZISHI YA BABA MZAZI WA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA 20 PERCENT WAFANYIKA KIJIJINI KIMANZICHANA


Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa.
Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana.


0 comments:

Post a Comment