Main Menu

Wednesday, September 4, 2013

MAAZIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI NCHINI KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi  nchini Mhandisi Prof.Lyatuu Mrema(kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habar i(hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini iatakayofanyika Septemba 5 na 6, 2013 jijini Dar es Salaam ambapo itwashirikisha karibu wahandisi 1000, Katika siku hiyo pia kutakuwepo na mabanda 50 ya maonyesho ya kihandisi, utoaji wa tuzo pamoja  na kula kiapo  cha Wahandisi Wataalamu. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi Steven Mlote.
Picha na Mwanakimbo Jumaa - MAELEZO

0 comments:

Post a Comment