KALA JEREMIAH AINADI ALBUM YAKE FACEBOOK
Kala jeremiah
PASAKA NI NI MOVIE KWA NJIA YA MICHANO NA MOVIE HII INAPATIKANA NDANI
YA ALBUM YANGU YA KWANZA AMBAYO TAYARI IKO SOKONI PASAKA NI WIMBO WA
KWANZA DUNIANI KUWA NI WIMBO HALAFU MOVIE YA KUTISHA NA WIMBO HUU NDO
UNABEBA JINA LA ALBUM. ALBUM HII YENYE JUMLA YA NYIMBO 23 inauzwa tsh
5000. ALBUM HII InAPATIKANA SEHEM ZIFUATAZO KWA JIJI LA DAR InAPATIKANA
MLIMAN CITY KWENYE DUKA LA UREMBO LIITWALO SHEAR ILLUSION,KARIAKOO MTAA
WA KONGO DUKA LA NGUO LA WHITE SHEDY LINALOTAZAMANA NA STENDI YA
DALADALA ZA MWANANYAMALA,KINONDONI STUDIO KWENYE DUKA LA NGUO LA ROBY
ONE FASION,paMOJA NA DUKA LA NGUO LA BORN TO SHINE LILILOPO MWENGE
KARIBU NA KOTA ZA JESHI.
WATU WANGU WA DODOMA MZIGO UNAPATIKANA UDOM AU KWA KUPIGA NAMBA HII 0714971301
WATU WANGU WA MWANZA ALBUM INAPATIKANA PALE MAENEO YA DELUX KWENYE DUKA
LA BOOM EXPLOSION LINALOUZA CD LAKINI PIA KAMPUNI YA GRANTON MARKETING
INAYOFANYA PROMOTION MTAANI ITAKUWA INAUZA ALBUM HII MTAANI HADI
NYUMBANI MLANGO KWA MLANGO,KWA MWANZA TU.
WATU WANGU WA MOSHI
ALBUM YANGU INAUZWA PALE RAFIKI MIN SUPERMARKET ILIYOPO DOUBLE ROAD
PAMOJA NA DUKA LA NGUO LINALOJULIKANA KWA JINA LA MO DRESSERS LILILOKO
MTAA WA KIUSA..
WATU WANGU WA TANGA ALBUM MTAIPATA PALE KWENYE DUKA LA NGUO LA MATHEMATIX CLASSIC WEAR TANGA CENTRAR FOUR WAYS SREET.
IRINGA MPOOO? ALBUM YA KALA JEREMIAH INAPATIKANA TWISTAZ CLUB,
MTWARA ALBUM YANGU ITAPATIKANA POPOTE ULIPO KWA KUPIGA NAMBA HII
0713698585 ANAITWA DJ ASKOF UKIPIGA NAMBA HII TAFADHALI UPIGE KWA LENGO
HUSIKA ASANTE MTU WA MTWARA.
WATU WANGU WA MBEYA ALBUM
INAPATIKANA DUKA LA SIMU LIITWALO RAFIKI LILILOPO MWANJERWA KABWE, NA
MJINI KATI uhindini DUKA LIITWALO NEW LIFE.
WATU WANGU WA ARUSHA ALBUM INAPATIKANA NONDO COMMUNICATION STANDI KUU YA MABASI.
KWA WALE WA MIKoA MINGINE MTUSAMEHE KWA SABABU HATUJAWEZA KUFIKA KILA
SEHEM KUTOKANA NA KUKOSA MAWAKALA TUNAOWAAMINI KWA HIYO KAMA UTAHITAJI
ALBUM UNAWEZA KUMWAMBIA RAFIKI AU NDUGU YAKO ALIYEKO SEHEM NILIZOZITAJA
AKAKUNUNULIA KISHA AKAKUTUMIA. PIA MIMI MWENYEWE NATUMA KUANZIA CD 10 SO
UKIWA UNAWEZA KUCHUKUA CD 10 NAKUTUMIA KWA GHARAMA ZANGU POPOTE PALE
ULIPO KWA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE 0756799877
0 comments:
Post a Comment