Kambi ya miss Iringa 2013 inatarajiwa kuanza kesho tarehe 05 june 2013 kwa ajili ya kinyang'anyiro cha kumtafuta mlimbwende wa Iringa atakayewakilisha mkoa huo katika miss kanda hapo badae.
Redds miss iringa 2013 inatarajiwa kufanyika tarehe 14 june 2013 katika ukumbi wa Highlans manispaa ya iringa kwa kiingilio cha shilingi 15,000 mlangoni na 12,000 kabla.
0 comments:
Post a Comment